Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Jeshi la FFU - Kikosi Maalum cha Kuzuia Ghasia Tanzania, wametembelea Makao Makuu ya Watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu ya Taasisi ya Goodwill Children's Home, iliyopo katika Mtaa wa Mwakidila, Jijini Tanga, Tanzania (Jana: Tarehe 19 - 04 - 2025).

20 Aprili 2025 - 17:45

Jeshi la FFU - Kikosi Maalum cha Kuzuia Ghasia Tanzania, wametembelea Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakisimamiwa na Goodwill C.H

Your Comment

You are replying to: .
captcha